Kijiamao

Kijiamao ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wajiamao kisiwani kwa Hainan. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kijiamao imehesabiwa kuwa watu 52,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kijiamao iko katika kundi la Kihlai.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search